ππˆπ€π‚π‡πˆπ„ 𝐌𝐈𝐌𝐈 03

ππˆπ€π‚π‡πˆπ„ 𝐌𝐈𝐌𝐈 03

Upande wa kina peter amani na lucy aka wateja walonisafisha koo😁😁wqlifika nyumbani wanapokaaa na kila mmoja akaingia chumban kwake, Kaka naenda na marafiki zangu club leo usiku naomba nauli elfu 50,😁😁lucy bila aibuuuu akaongea hvoo Hv lucy unanipenda kwl mm kaka yako?? Eti??? Leo nimetumia shingapi pale???? Na umeona kabisa hela haijatimia nna deni halafu unakuja kuomba elfu hamsini!!!!!!!!!!!! Tena bora hata ingekuwa ya kufanyia mambo ya maana !!!!!! Eti ya club????? Em ntokeee hapa na huo upuuz wakooo peter alijibu hvo kisha akakaa kitandan akaendelea kuchezea simuu Yaaan kaka wa kuninyima mimi elfu hamsini kwl??? Sawa lucy akaondoka akaenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments