
TULIPOISHIA....... mama yake na recho waongee wakatoka pembeni kidgo “sawa baba mie nimekuelewa lakini mimi siwezi kuiacha hii nyumba ya marehem mume wangu nikiwa hapa naona kama nipo nae ,, lakini recho ni rafiki yake mie nalidhia waende wakaishi wotee akijifungua nitakwenda kumuangallia mpaka atakapo kuwa sawa” “ sawa mama mie nimekuelewa “ Mama recho akamuita recho akamwambia “ nenda kaishi na mwenzio asiwe peke yake “ “ recho kauliza wapi?? Qassno akampa maelekezo ,, recho alifurahi kusikia qassao amemnunlia nyumba abby waende kuishi wote……… ENDELEA...... Recho akapanga nguo zake haraka haraka, alikuwa na furaha kuzidi hata Vicky mwenyewe ,,
0 Comments