
_Tulipo ishia_ ππ¦ ameolewa anashindwa kujiheshimu!" Rozi alibakia anashangaa na kujiuliza hivyo kitandani. *Endelea sasa* π₯°ππ¦ Flora naye baada ya kutoka chumbani kwa Japhet akaweza kurudi mpaka chumbani kwake na kujifungia mlango huku akiwa amekasirika sana. "Siamini kama nimekosa kulifaidi Penzi la Shemeji Japhet usiku huu" alisema Flora huku akizungukazunguka ovyo humo ndani ya chumba chake anacholala na mumewe Lukasi ambaye ndie kaka yake na Japhet aliyopo safarini Mwanza. "Siwezi kukubali kulikosa Penzi la Japhet hata kidogo, ngoja nimtimue Rozi hapa nyumbani ili nibakie na Shemeji Japhet niendelee kuufaidi Utamu wake yaani amenionjesha siku moja na kunidatisha huyu kijana mpaka
0 Comments