
πΎπππππππ: πππππππ πππππππππ πππππ πππππ π ππ§ π½πͺπ§πͺπππ£ - ππππ’πππ§π *SEHEMU YA KUMI NA MBILI { 12 }* _Tulipo ishia_ ππ¦ kufungua mlango na kumkuta Shemeji yake huyo akiwa anatabasamu. *Endelea sasa* ππ¦ "Nisamehe sana baby haikuwa Akili yangu kusema vile na kukudhalilisha, naomba unisamehe jamani Japhet" Flora alisema kwa unyonge. "Nimeshakusamehe tayari lakini naomba usiniite baby wala mpanzi, wewe ni Shemeji yangu mke wa kaka yangu kwahiyo naomba tuheshimiane" alisema Japhet kwa msisitizo. "Basi sawa nimekuelewa lakini baadae naomba uje kule saloon kwangu tuongee vizuri Shemeji" alisema Flora. "Nije tuongee kuhusu nini tena? kama una kitu cha kuniambia naomba
0 Comments