
πΊπππππ ππππ Huyu dada alitutazama, alishindwa kuvumilia. Taratibu aliondoka huku anaumia sana. Nilimuonea huruma, ila siwezi kumuachia baby wangu ambaye tunapendana sana. Sisi tulibaki tunapeana busu. Kisha nami nikashuka chini kwaajili ya kwenda kuanza maandalizi yangu ya kwenda mtoko na baby wangu. Ile nimetoka tu, nakutakana koridoni na meneja anaenda kwa Boss. Aliponiona alianza kucheka akisema “wewe ni mbayaaa, nilijua tu kuna kitu na Boss. Kidogo nijichanganye, ningekosa kazi mimi. Ungeniambia mwenzio.” Nikajikuta nacheka na kisha alisema “Anakupenda sana, naona na najua hili. Hakika, penzi ni ajabu. Boss wangu na ujeuri wake wote kapenda sasa. Sema nini Ndeana, una faida
0 Comments