𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž: 60

𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:  60

Nilishangaa ananiambia, tena kwa sauti ya kumaanisha. Nakumbuka aliniambia “Ndeana wangu, njoo nakusubiri, nipo hapa jirani na nyumbani kwenu. Ukitoka tu utaona gari yangu.” Nikashtuka na kumuuliza “Unasemaje?” Akaniambia kwa furaha “Sitanii totoo, nakusubiri, mimi sijui umenipa nini ila siwezi kwenda kulala bila kukuona, njoo basi.” Nikamtazama dada yangu, kisha nikazuga nikisema “nakuelewa sawa nakuelewa.” Akacheka kidogo akisema “Nakusubiri totoo!!” Simu ilikatwa na nikabaki hata sijui namuaga vipi dada kwa maana kitu ambacho sikutarajia ni kuambiwa boss yupo mitaa ya nyumbani. Sikuwa nimetarajia kabisa kwasababu wala hapafahamu nyumbani. Nilimtazama dada yangu kwa wasiwasi, dada yeye alikuwa anatabasamu tu, alikuwa anasuburi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments