SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI* Sehemu ya 7

SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI*   Sehemu ya  7

Max alimuangalia Dala usoni kisha akatingisha kichwa na kuelekea chumbani kwake. " Yani huyu anataka kuujaribu uvumilivu wangu na mimi nitashinda kabisa kuvumilia. Max alienda kumtembelea dada yake Irene wakiwa wamekaa sebleni wakipata vinywaji Irene akauliza. " Vipi shalon anaendelea je? " Anaendelea vizuri, anafuraha, amezoea na anaamini ni mama yake. " Hilo ni jambo zuri , Dala anaweza majukumu yake? Anaendelea vizuri lakini siliziki na mambo yake. " Kivipi? " Naona ana mambo ya Uswahili sana naogopa shalon anaweza kuiga tabia za ajabu. " Lakini kuhusu malezi ya mtoto? " Naona anamlea vizuri na shalon anampenda mno . "

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments