𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’ 81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:

𝑺𝒆𝒂𝒔𝒐𝒏 π’•π’˜π’  81 - 89.. π‰π€πŒπ€ππˆ ππŽπ’π’ 𝐌𝐈 ππ€πŽππ€ π€πˆππ” πŸ’πŸ™ˆπŸ’ž:

81 Nakuomba sana uwe makini leo, ulale mapema na uamke mapema maana wewe ndiyo tunakutegemea. Najua utakuwa umetingwa sana mwezi huu wote. Nashindwa kusema nitakukumbuka sana, nitakumiss ila sitaacha kukuona hilo kaa ukijua na pia usiku najua utakuwa unapata muda kidogo kwaajili yangu si ndiyo totoo.” Nukamshika mikono na kusema “usinishukuru zaidi inatosha sasa. Kikubwa ni kuwa Mungu ametusaidia na tutafanikiwa. Sijawahi kufanya kazi kubwa kama hii ila nakuahidi nitafanikiwa. Ila nina kitu nafikiriia..” Haraka akaniuliza “ni kitu gani hiko?” Nikavuta pumzi na kusema “Kuhusu wageni wetu na sehemu za kulala najua mnashughulikia sasa. Ila kumbuka mimi na wenzangu wawili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments