Kanuni za soka la mtaani enzi zile:

Kanuni za soka la mtaani enzi zile:

1. Hakukuwa na refa. 2. Mchezo unaisha pale wachezaji wanapochoka au wakati wa adhana ya Magharibi. 3. Mmiliki wa mpira akikasirika, anauchukua mpira, mchezo unaisha 😁 4. Kipa anaweza kubadilishwa hata wakati wa penati 😆 5. Mmiliki wa mpira huchezea timu kali zaidi 😝 Hakuna kuvaa viatu ukiwa mkubwa utasikia we mkubwa huchezi ongeza lako kwenye comment Salamu kwa wote waliowahi kuishi kumbukumbu hizi nzuri ❤️

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments