
Elian alikuwa wa kwanza kuamka alimuangalia Winnie usoni akatabasamu ,mlango wa chumba Cha Winnie uligongwa Elian alienda kufungua " Nini shida Mr Charles?" Aliuliza Elian ,Mr Charles alimuangalia Elian akatabasamu Elian alikuwa amefunga taulo tu na yupo chumbani kwa Winnie " Aaah Mr Elian nimepata simu kutoka kwa secretary wako anasema unahitajika haraka sana ofisini kuna mambo ya kuyaweka sawa " ." Okay asante kwa kufikisha ujumbe mpigie simu mwambie ndani ya nusu saa nitakuwa huko " Elian aliingia chumbani kwa Winnie alichukua nguo zake akaenda chumbani kwake alivalia suti yake nzuri ya kijivu na kuondoka Winnie aliamka kutoka usingizi
0 Comments