
akawa ananisisitiza nisilisahau pnz lake kwa sababu yeye kamwe hawezi kuusahau utm wangu.. aliongea maneno mengi sana ya kichokozi mpaka mume wangu akashindwa kuvumilia ikabidi amuulize wewe ni nani upuz gani huu kwa mwanamke wangu?!..... Yule jamaa baada tu ya kuisikia sauti ya mume wangu alikata simu💔💔💔Rohan aliumia sana aliniangalia kwa maumivu makali mpaka machozi yakawa yanamtoka🥹🥹 Mimi hata sikujua nini niseme nilikuwa natetemeka vibaya mno nilikaa kimya nikawa naangalia tu chini Hopu alikuja pale jikoni akiwa na bakuli mkononi akaniambia my wii umepika nini?! nipakulie kidogo nipashe utumbo leo najisikia kula pishi lako et😝 aliongea hivo huku akinikonyeza🥺 sikuweza
0 Comments