
Habari kaka alisalimia wangesi Fresh kwan vipi alijibu dereva Hapana kaka nimeona unahangaika hapa muda mrefu Mimi nilikuwa naanda shamba pale hivyo nimekuja kujua tatizo ni nini tusaidiane hat kwa mawazo Hata kama ukijua huwez kuwa na msaada wowote hapa kama nimeshindwa Mimi mtoto wa mjini utaweza wewe mtoto wa shamba we endelea kuandaa shamba Hapana kaka mawazo tu ni msaada tosha alisema wangesi Hebu toka kwanza huend wew unataka kuniibia alisema dereva Gafl sauti ya msichana ilitoka ndani ya gari lile ikilalamika majibu ya dereva wake alianza kumtetea Wangesi alisema ahaaaaaaaaaa kaka muache atusaidie bwana mbona hivo huyu ni
0 Comments