
, akainua mkono wake na kuunyosha kuelekea kwa Amara, machozi yakimtoka. Tafadhali nisaidie, wataniua mimi na mtoto wangu. Nguvu akaomba kwa sauti nyororo na yenye kutetemeka. Amara alirudi nyuma kwa woga. Mwili ulikuwa una tetemeka na kutaka kukimbia. Lakini macho ya uzuni ya nguvu yalikuwa ya namuita. Amara alikuwa mwanamke maskini katika kijiji hicho. Aliishi katika nyumba ndogo ya udongo yenye paa inayovuja. Hakua na pesa nyingi na kila mara alikuwa akitafuta njia za kujilisha yeye na watoto wake wawili. Mume wake alikufa miaka mingi lio pita na tangu wakati huo alikuwa peke yake katika mapambano yake. Asubuhi moja mapema,
0 Comments