BABY MAMA VS WIFE Episode 3 Mke wa Tafon alikasirika sana. Akakimbia hadi kwa mumewe na kumshika suruali, wakati mama wa mtoto

BABY MAMA VS WIFE  Episode 3  Mke wa Tafon alikasirika sana. Akakimbia hadi kwa mumewe na kumshika suruali, wakati mama wa mtoto

akishikilia shati lake kwa nguvu. Maskini Tafon akawa kama kamba kwenye mchezo wa kuvutana akivutwa kushoto na kulia, mbele na nyuma. “Hataendi popote mpaka alipe ada na mahitaji ya shule ya mwanangu!” mama wa mtoto alipiga kelele. “Mimi ndiye mke wake halali, wewe changudoa tuu!” Natasha akajibu kwa msisitizo. “Mimi ndiye mama wa mwanae wa pekee, wewe ni tasa! ” mama wa mtoto akatupa maneno kwa hasira. “Na unathubutu kuniita majina mabaya?” “Umenitukana mimi kuwa tasa!” mke wake akajibu kwa uchungu, sauti ikitetemeka. “Nimesema uongo? Kwa nini hujampatia mtoto kwa miaka yote hii?” “Ni roho zako mbaya! Hakuna namna atalipa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments