BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💞 SEHEMU YA 01

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💞  SEHEMU YA 01

Bryan Ni kijana maarufu na tajiri anaemiliki hoteli kubwa pamoja na kampuni kubwa ya usafirishaji, Ni mmoja ya watu maarufu Sana Bryan alikuwa Ni kijana mtanashati Sana wanawake wengi walivutiwa na utanashati wake lakini hakuna aliejaribu kumsogelea kutokana na ukali wake , na mwanamke yoyote alie jaribu kujipendekeza kwake alimdharau na kumtoa thamani. Mara nyingi Bryan akiwa hotelini kwake alikuwa anakaa sehemu iliyotulia na kupata kinywaji hakutaka usumbufu na mtu . Pia Kuna wakati alikuwa anamkumbuka ajali waliyopata alipokuwa na miaka 5 na kusababisha vifo vya wazazi wake . Ulipofika muda wa lunch wafanya kazi wa kike wa pale hotelini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments