BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘12

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘12

Maria alipokea na kuvishikilia mkononi, bado alikuwa na mshangao pia uwoga maana anamjua Sana Bryan hakuwa mtu wakujali wengine. " Vipi mbona umeshikilia hauli? " Nakula. Maria alipeleka mdomoni kipande Cha biscuit akaanza kula kidogo kidogo Bryan aliendelea kumuangalia kwa jicho la kuibia huku akiendelea kupiga story na wenzake. Maria alikuwa kimnya mda wote lakini alikuwa anamkata jicho Bryan ambae alikuwa anajisogeza karibu nae na kusababisha kugusana. Walipogisana Maria alishituka na kumuangalia wakajikuta wote wanaangaliana jicho la Bryan lilikuwa limebeba hisia flan Maria aligeuza macho akawaangalia watu wote waliokuwepo pale akakuta wanawaangalia Maria akajisogeza kidogo. Maria aliendekea kuwa kimnya hukucakiwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments