
Alex alimuelezea mama Kitu kuhusu yale ya kule kwa doctor , mama akasema sawa nitakwenda Kule Tuliambiwa twende Siku ya J3, siku ilifika tukaenda mie, alex pamoja na mama Doctor alitukalibisha vizuri, Akaanza kuongea na mama , mi na Alex tulikuwa kimyaa kujua anataka nini kutoka kwa mama Doctor alijitambulisha kwa mama akamwambia nimekuita hapa kuna vitu nahitaji kujua wakati salma alipo kuwa mdogo yaaan kuanzia siku ya kwanza ulipo mzee kuna changamoto yeyote labda alipitia ?? Mfano homa kali, au alizaliwa kwa njia isiyo ya kawaida , ama alipata tatizo huko hospital, tukachana na Hospital makuzi yake nyumbani yalikuwaje
0 Comments