
Kila mtu alishituliwa na kelele alizopiga Maria akamkimbilia alipo walipoona damu sakafuni na wao waliingia na hofu. Monica alimsogelea karibu " Maria umepatwa na Nini? " Sijui , nahisi ujauzito wangu umeharibika. " Tunatakiwa kuwahi hospital , jamani nahitaji msaada. Mfanyakazi mmoja alienda kutoa msaada wakamshikilia na kwenda kumpandisha kwenye gari. Monica aliendesha gari mpaka hospital walipofika walipokelewa na Maria alianza kupatiwa matibabu. Monica alimpigia simu mpenzi wake Jordan. " Jordan tupo hospital Kuna tatizo.... " Umepatwa na Nini baby " Sio Mimi Ni Maria, ujauzito wake unatishia kutoka. " Nini? " Ndio hivyo mwambie Bryan ikiwezekana afike. " Alipata
0 Comments