SALMA WA MTAA WA SABA* *______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

SALMA WA MTAA WA SABA* *______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Baada ya kumaliza maongezi mama Fariss alimwambia Salma. " Naenda jikoni kupika chakula cha mchana. Alinyanyuka huku akivuta na kulalamika mgongo unamuuma. " Mama nipo hapa kwanini uhangaike unaweza kuniambia unataka nilipokuwa nini? " Kwanini usipunzike tu mwanangu? " Siwezi kukaa bila kazi nitafanya. " Sawa twende jikoni. Mama Fariss alinyanyuka na kutangulia jikoni huku Salma akimfuata nyuma. Mama Fariss alitoa kila kitu na kumuwekea . " Kila kitu hiki hapa ningependa unipikie wali na mchuzi safi wa kuku. " Usijali mama . Napika kwenye jiko gani. " Rice cooker hii hapa, jiko la gesi hili hapa na jiko la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments