‎ ‎BEACH BOY MWENZAKO SITAKI NOTE; INA MAUDHUI YA WATU WAZIMA SOMA KWA UANGALIFU ...... ‎ ‎EPISODE 1

‎ ‎BEACH BOY MWENZAKO SITAKI    NOTE; INA MAUDHUI YA WATU WAZIMA SOMA KWA UANGALIFU ......  ‎ ‎EPISODE 1

‎Naitwa Veronika, nina umri wa miaka 24, mzaliwa wa Mwanza lakini kwa sasa naishi Dar es Salaam. Hadithi hii si ya kubuni ni sehemu ya maisha yangu halisi ambayo kwa muda mrefu nimekuwa nikificha kwa aibu na hofu ya hukumu za watu. ‎ ‎Lakini sasa, nimeamua kuisimulia, si kwa kutafuta huruma, bali ili iwe funzo kwa wengine, hasa wanawake wanaopenda maisha ya starehe bila kujua gharama yake. ‎ ‎Ilianza mwaka mmoja uliopita, nilipokwenda likizo Zanzibar na rafiki yangu wa karibu sana jina lake ni Sandra. ‎ Tulikuwa tumepanga likizo ya mwezi mmoja , tukiamini tunakwenda kupumzika, kufurahia bahari, na kula

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments