KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA BASAD ON TRUE STORY: HII NI YA WATU WAZIMA KUWA MWANGALIFU..... EPISODE 22

KAZI YA JELA ILINIFANYA NIWE MALAYA  BASAD ON TRUE STORY: HII NI YA WATU WAZIMA KUWA MWANGALIFU.....  EPISODE 22

Nikamvutia bafuni kwa nguvu ambazo sikujua zilitoka wapi, lakini bado sikujua kwa nini moyo wangu ulikuwa unadunda kwa kasi isiyo ya kawaida. Muda huo nimetulia kifua kwake mtoto wa kike ... Tukiwa pale bafuni, mvua ya bomba ikianza kupiga sakafu kwa utulivu, macho yetu yaligongana tena, na kimya kilitawala. Nikiwa nimesimama mbele yake huku maji yakinitiririka mwilini, ghafla alikumbuka jambo.Nikajua leo lazima nipate navyotaka basi niliupeleka mkono sehemu ambayo huwa haitajwi hovyo hovyo.... “Subiri...” alisema kwa sauti ya chini, kisha akainama na kuokota taulo lililokuwa kando ya sinki. Alinisogelea polepole, kwa uangalifu wa mtu anayegusa kioo kisichotakiwa kupasuka. Bila kusema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments