BETWEEN SISTERS AND SECRET _____________________________________*6--7 *SEHEMU YA SITA* "Looh, msichana ana balaa yule! Kwahiyo anaona bora mapenzi kuliko undugu, na Mr. Gael wa watu alivyo mtaratibu na mu-handsome

vile. Ilikuwaje akaenda kuanguka kwa Mira? Mbona kazi anayo! Bora hata angempenda mrembo wangu Mia," Furaha alimtania Mia. "Acha ujinga! Sitaki kabisa mambo hayo, hasa kuwa karibu na mpenzi wa Mira. Kila siku ananilaumu mimi kuwa namletea mikosi kwenye mahusiano yake, au umesahau?" Mia alimuuliza. "Hata sijasahau shoga angu, hata hivyo Mr. Gael sio mtu wa kumzoea haraka haraka. Yupo busy na mambo yake, kumuona tu kwa mwaka unaweza ukamuona mara moja," Furaha na Mia walitembea huku wanaongea. Siku zilienda, Mia alizidi kuwa mzoefu zaidi kazini. Siku moja Gael alienda dukani. "Mama, unajua kabisa nina kazi nyingi sana ofisini, lakini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments