
Lina alikuwa anaishi na shangazi yake mjini tangia alipokuwa maliza elimu yake ya msingi. Kwakuwa alikuwa yatima shangazi yake alibeba jukumu la kumchukua kijijini na kuja kumsomesha . Shangazi yake hakuwa na kazi ya maana alikuwa mfanyakazi wa ndani katika familia moja ya kitajiri ya bwana mmoja aliyetambulika kwa kina la Maxwell, tajiri aliemiliki jumba la kifahari lenye walinzi, bustani na magari ya kifahari. Yeye na mke wake Maurine alikuwa na watoto wawili wa kiume, mkubwa alikuwa anaitwa Amor ambae alikuwa kazini na Stephen kijana wa mwisho aliyekuwa na umri kama wa Lina na ndio kwanza alikuwa amemaliza chuo na
0 Comments