BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI* SEHEMU YA 18 NA 19*

BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI*    SEHEMU YA 18 NA 19*

"Hakukuwa na haja ya kumkaushia...." Chris aliongea "Mguu wake unahitaji kukaushiwa ili apone haraka, mara nyingi huwa una utararibu wa kuwaonesha tabasamu wagonjwa unao wafanyia upasuaji lakini kwangu inakuwa tofauti huwa nawaonesha sura ngumu ili mifupa yao ipone kwa haraka" Dorin aliongea Chris hakuwa na namna zaidi ya kuachia tabasamu. Baada ya Jamila kufika nyumbani, hakuona sababu ya kuendelea kukaa hapa, kwani kila sehemu aliyogeuka alimuona Ali. Alitafuta Mteja wa kununua nyumba yao, isingekuwa rahisi kwake kuuza kwa bei ghali kwa sababu Wateja wake walikuwa na maisha ya chini. "Kwanini unaondoka, usiniambie ni kwa sababu ya yule Daktari" Rafiki yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments