
. Hakuna aliyemshika mkono, hakuna aliyemtongoza, wala kumsifia hata siku moja. Kila mtu alimuona kama kichekesho. Yeye mwenyewe alishazoea kuitwa majina ya ajabu, lakini moyoni kwake kulikuwa na maumivu ya kisirisiri. Aliwaza, Mbona mimi pia ni binadamu, mbona wao wanafurahia maisha yao na mapenzi yao, mimi nikibaki tu kama kipande cha sofa? Duh. Siku moja, demu akajikaza kiume, akasema apate presha ya maisha. Akajitosa kwenda kuogelea kwenye swimming pool ya mtaa wa mabazu, akijua pengine maji yangeosha maumivu yake. Lakini mbona? Balaa lilimkuta. Kundi la madada wa kisela, wenye roho za shetani, wakamnyemelea. Wakaanza kumrekodi live huku wakimcheka, kumshusha, wakimwambia
0 Comments