
Recho alikuw amekaa sebleni anatazam tv huku anakunywa juice aliyo pewa na yule nes wa vicky , Vicky akamuuliza ni tamuu??” ilikuwa juice ya matunda recho akajibu achaa alie itengeneza alikuwa fundi kweli kwelii yaan “ ‘ ‘ juice za matunda hata huwa sizielewi ngoja ninywe na mmi’’ Vicky akachukua aliiweka ndani ya friji … Hazikupia hata sec 30 kwa zile funda tatu alizo kunywa zilitosha kurudisha haraka majibu ya nes alicho kikusudia ,, tumbo lilianza kumuuma kama linavurug ,, akamwambia recho nahisi tumbo kuuma recho akamwambia twende hosptali Vicky akasema mmh kwani hu undo uchunguu? Sii huwa wanasema kiuno
0 Comments