.jpg)
"By Babie Love 0742133100" Nipokee au niache??... wakati naolewa nilisisitizwa sana kuiepuka simu ya mme๐๐๐hata siku tunaondoka Dar kuja Dodoma bibi alisisitiza sana simu ya mme haishikwi.. Najua simu ya mme haishikwi ndiyo lakini kwa leo mtanisamehe lazima niishike na lazima npokee huyu lolo Dom nijue ni nani???.. Nilishika kile kidude cha kupokelea simu nikapiga tiki fyaaaa๐ซฐ๐ซฐbaada ya hapo nikaweka simu sikioni ikasikika ya sauti ya mtoto wa kike ikiita taratibu kwa mahaba Hello Dady.. Mapigo ya moyo yalinienda mbio kuliko kawaida nilihisi roho inataka kuacha mwili☹️☹️niliitoa ile simu sikioni nikataka kuitaka lakini hapana nilirudisha sikioni nikaendelea kusikiliza... "Dady I
0 Comments