
Mimba?? Hapana haiwezekani siwezi kuwa na mimba mimi🥹🥹Vicky aliyakataa majibu ya mimba aliondoka hadi duka la dawa akanunua kipimo cha mimba akajipime mwenyewe nyumbani.. Masha alikuwa nyuma yake anafuatilia mchezo mzima .. baada ya Vicky kuondoka duka la dawa , Masha akashuka kwenye gari yake mpaka mule ndani "Habari dadaa" akamsalimia muuzaji huku anasogea "Poa karibu" "Samahani et yule dada alikuja kununua dawa gani hapa" "We dada wewe hahah na kwanini niongee habari za mtaje" Masha hakumjibu alitoa Elfu 30 akampa "Haya nambie basi nanunua hizo taarifa " " hahaha yaan wewe bwanaaa!!, amenunua U.P.T" Masha hata hakujibu alitoka zake
0 Comments