NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH SEHEMU YA 45__46💘💘

NILIZANI MWIZI KUMBE MMMH SEHEMU YA 45__46💘💘

.... yaan ukikutana na alex unaweza kusema huyu kaka alishafilisika maisha yamempiga kweli kweliiii Tangu hapo nilianza kuona hata tabasam kwa familia yangu , sikuwa nimepona lakini nahisi niliwapa matumaini makubwa sana .. Siku zilienda ,muda wangu wa kujifungua ulifika ,nikafanyiwa OPERATION, Alhamdulillah nilipata watoto wawili wote wa kiume , wazuri zaidi hata ya baba yao , sikuwa naweza kuwashika hata kuwapa nyonyo subira alikuwa beneti na mimi muda wote , kuhudumia watoto , wakilia anawaweka kwenye ziwa langu Lakini mama mkwe nae alikiwa anawajali mnoo yaan walikuwa kwenye uangalizi karibu wa watu wote humo ndani, hapo nilikuwa naweza kusogeza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments