BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 02 ❤ Umri………………...18+ ENDELEA...... Makosa yalikuwa yangu mwenyewe maana kama nisingeenda na Mary kwenye sherehe

BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 02 ❤  Umri………………...18+  ENDELEA...... Makosa yalikuwa yangu mwenyewe maana kama nisingeenda na Mary kwenye sherehe

basi asingekutana na Robert, nilikubali kumsamehe mke wangu na maisha yaliendelea. Siku mbili zilipita na siku hiyo ikiwa ni siku ya jumatatu niliamkia kazini na kukutana na Robert. "Habari za asubuhi Derrick!?" "Salama kabisa!" "Mke wako anaendeleaje!?" Kwanza nilimtazama pasipo kumjibu, nilitamani nimzabe kofi ila kwakuwa ni boss nilimjibu kuwa anaendelea vizuri na mwisho aliamua kubadilisha mada mwenyewe, tulianza kuzungumza kuhusu kazi na sio Mary tena. Siku hiyo ilipita na siku iliyofata ilikuwa ni Jumanne jioni, mimi na Mary tulikuwa kitandani tukifanya mambo ya kiutu uzima, bahati mbaya kwangu toka nimuoe sikuwahi kumfikisha mke wangu kile...leni, mara nyingi nilikuwa nawahi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments