
mimi pamoja na Mke wangu aitwae Mary. Kampuni ilikuwa imepanuka haraka sana katika kipindi cha mda mfupi tu, ilikuwa ni furaha kwangu pamoja na wafanyakazi wenzangu na karibu kila mtu alikuja na mpenzi wake siku hiyo. Mimi( Derrick) nilimuoa Mary toka miaka 10 iliyopita, miaka yangu ni 37 na mke wangu Mary anamiaka 35, umbo la mke wangu lilikuwa linavutia kiasi cha kuwafanya wanaume udenda uwatoke kila walipokuwa wakimuona kutokana na uzuri wake. Nilimshika mkono Mary na kuelekea naye kwenye kiti kwa ajili ya kuketi na niligundua kuwa mke wangu alikuwa akiangaliwa kila mara na boss wangu aliyekuwa akiitwa Robert.
0 Comments