
( Dada zake walitubu kimya kimya kanisani uku wakizuia machozi yasitoke kwenye sherehe ya kaka yao...basi ndoa ilifanyika furaha ilikuwa kubwa sana...mchungaji alimwita kijana mmoja mtanashati anaitwa maya alienda mbele ya kanisa akasimama na kusema) " Naomba masikio ususani kwa wasichana wote Sio kila mwanaume ni Husband material. Baadhi yao wanafaa kuwa marafiki tu, baadhi yao materials, papa materials, husband materials na wengine ni husband materials. Olewa na mwanaume ambae ni Kaka bora, mume bora na baba bora. Baadhi yenu huingia ktk ndoa na wanaume ambao kimsingi hawakua na nia ya kuoa. Ndoa si kwa kila mtu. Baadhi ya wanaume
0 Comments