FUTURE YA INTERNET UKWELI ELON MUSK ATAKI UUJUE! 😭😭😭😭😂😂😂 Okay kwenye episode hii nataka tuizungumzie internet kwa lugha rahisi zaidi

FUTURE YA INTERNET UKWELI ELON MUSK ATAKI UUJUE! 😭😭😭😭😂😂😂   Okay kwenye episode hii nataka tuizungumzie internet kwa lugha rahisi zaidi

iwezekanavyo lakini pointi ambayo natamani kuitengeneza ama kukuelezea hapa ni kwa nini internet ya satellite sio future ya internet. Yaani internet ambayo anaileta Elon Muskeno mengine sio future ya internet. Bado tutaendelea kutumia cable na nitakuelezea kwa nini. Asante kwa kila ambaye umesubscribe kwenye hii akaunti bado fanye hivy utakuwa umetusupport kinoma noma. So let's talk about internet. Kwanza tuanze kuielewa internet ni nini. Kwa maneno rahisi internet ni ule mfumo wa kompyuta moja kuwasiliana na kompyuta nyingine. Na ninavyosema kompyuta unaweza ukachukulia ni hizi kompyuta zenye sura kama hizi komputa nyingine lakini kompyuta kuna zenye sura tofauti. Kuna baadhi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments