
DUNIA HAITUPENDI WANAUME MASKINI Dunia ni mbaya kwa mwanaume maskini, dunia haina huruma kwa mwanaume asiye na kitu. Dunia haitupendi wanaume maskini. Tuendelee kupambana maana dunia haina huruma kwa mwanaume maskini. Dunia ina huruma kwa Mwanamke na Watoto. Msamiati wa huruma kwa mwanaume hamna kabisa, lini umesikia Mwanamke mwizi kachomwa moto? Wanaume tunapambana kwa ajili ya familia na kesho yetu, unaamka asubuhi huna hata shilingi mia mfukoni, kodi imeisha, pesa hauna, huo ndo uanaume. Tunapambana vita isiyoisha, endelea kuamini wanangu, kesho bora inakuja kwa kila anayeamini kwenye nguvu na akili. Ukisikia Mungu hamtupi mja wake basi fahamu waja wenyewe ndio
0 Comments