Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe.. Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA TISA ENDELEA. . . Akiwa ndani ya chumba cha binti yake mama ashura alikuwa akitoa machozi

Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA TISA   ENDELEA. . .       Akiwa ndani ya chumba cha binti yake mama ashura alikuwa akitoa machozi

tu alijiuliza maswali mengi yaliyokosa majibu hakujua nini afanye baada ya tafakari ya masaa karibuni mawili mwishowe alipata jibu “ Sasa huyu mshenzi si anajifanya mjanja yani mimi nime msitiri alipotoka jela nika muamuni kama ndugu nimemuacha akae na binti yangu nikidhani atampa malezi kama mzazi kumbe yeye alikuwa na lengo lake kwahiyo haya ndio malipo anayo amua kunilipa sawa tutaona kati ya mimi na yeye nani mjanja ” mama ashura aliongea peke yake huku aki nyanyuka akazipiga hatua kuelekea chumbani kwake mkononi alikuwa na kipande cha karatasi aliyo ioata kwenye kabati la chupi la ashura ambayo ilikuwa ni barua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments