CHOMBEZO+ KIFIMBO CHEZA SEHEMU YA 01

CHOMBEZO+  KIFIMBO CHEZA  SEHEMU YA 01

******** ******** Jina halisi niliitwa Husein Semdohe japo wengi walipenda kuniita Mgosi Kipepe... Hii ni kutokataka na Mwili wangu kujazia hasa sehemu za kifuani na pia sikuwa mtu wa kuchelewesha mambo.. Hasa mtu akinikwaza basi huwa namalizana nae hapo hapo kama ni kumpiga nitampiga au kama nikumwambia basi nitamwambia ukweli. Hali ile ilikuwa ikiwaridhisha watu wengi kwasababu sikupenda kudanganya hata kidogo na nilipenda kusimamia ukweli na uaminifu muda wote pale kijijini.. Nilikuwa nikipata dili nyingi hasa za kuuza maduka ya watu au hata kusimamia mashamba au mifugo ya watu na kulipwa... Kwa hapa kijijini kwetu Mlalo wilaya ya Lushoto tanga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments