MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 17

MY TRUE LOVE STORY    SEHEMU YA 17

Baada ya kumaliza kufunga ndoa akaniita kisha akasema “ naomba niongee hili mbele ya kila mmoja , akanishika mkono kisha akaanza kusema .. Najua leo ni siku adhimu na nisiku kubwa sana, najua mtashangaa ila nimefunga ndoa na wanawake wawili, maana dini yenyewe inasema kuwa, “ tuanze na wawili, na naamin nimelifanikisha hilo, na wazaz wangu naomba mlipitishe hilo na mnipe Baraka zenu… Baba yake akanisogelea na kunambia “ hongera sana binti yangu, hakika mwanangu ni mwanaume bora sana, na anapambana kuipambania furaha yake, na nimeona ukomavu wa nguvu na akili yake, mungu awape maisha yenye furaha na amani, nikajikuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments