CHOMBEZO: SHANGAZI Sehemu ya 3. ILIPOISHIA…. “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”

CHOMBEZO: SHANGAZI  Sehemu ya 3.  ILIPOISHIA….  “Shangazi!” Niliita kwa upole na macho yenye kubembeleza jambo. “Niambie dear!”

“Basi hata kuniruhusu nikatafute asali katika pango la nyuki?” “Nyuki wenyewe ni wakali, angalia utatoka manundu!” “Mimi siogopi manundu!” “Usijali, nimekwambia kabla mjomba wako hajarud……..!” “Wewe….wewe……wewe…. Kabla sijarudi unataka kufanya nini, eti unataka kufanya nini?” Ilikuwa sauti ya mjomba alipokuwa anatoka chooni. Nilijua siku za mwizi arobaini. Niliona nimekamatwa na nikawa nasubiri hatma yangu …SONGA NAYO…. “Aaah….a..a..aahh.. Nimemwambia afanye kazi zote zinazompasa kuzifanya. Azimalize kabla wewe haujarudi kutoka kazini ziwe tayari zimemalizika” alisema shangazi kwa kujiamini huku akiwa mkali kidogo. Hapo ndipo nilipogundua kuwa mwanamke akiwa na jambo lake, halishindwa. Mjomba aliniangalia kwa muda. Niliinamisha macho yangu chini kwa uoga.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments