POOR BILLIONAIRE* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 17 Kweli Mr Jailo asivyo na aibu Wala uoga akiamini Jovin ni Mwanae na hawezi

POOR BILLIONAIRE*  (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 17  Kweli Mr Jailo asivyo na aibu Wala uoga akiamini Jovin ni Mwanae na hawezi

kumuacha ataseke alipanga Kesho Yake aende kwa Mr Jovin kuomba msaada!. Usiku Huo Stori kwenye familia ya Mzee Jailo ilikuwa ni Moja tu wakiwa wanafarijiana kwamba Jovin hawezi kuwaacha!. "Mzee Kesho ukienda sisitiza swala la Mimi kurudi kazini Basi!" Damian Naye alikuwa anakazia point ya Mama Yake!. "Baba mwambie Hata Mimi Chuo Sitaki, asinilipie Ada kama vipi anipe Hiyo Pesa ya Mtaji nifungue saluni kubwa hapa Mjini au kama hawezi aniajili kwenye kampuni?" Yalikuwa maneno ya Yasinta!. Yaani walivyo kuwa wanatoa hoja utadhani Huyo Jovin mwenyewe kakubali kuwasaidia! Kulipo kucha asubuhi asubuhi tu kabla Mr Jovin hajaenda Hata kazini gafla

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments