
alipigwa na bumbuwazi macho yalimtoka ni kama alidata mala taswira na nuru ya macho yake ikaanza kupotea na papo hapo alianguka na kupoteza fahamu si yeye tu bali ofisi nzima walibaki wameduwaa walichanga nyikiwa wasijue la kufanya “ Shiiiiiitttttt ujinga gani huu ” mkurugenzi mkuu wa kampuni alipiga ngumi juu ya meza kwa jazba alizokuwa nazo alikuwa akihema juu juu chini hapa kukalika jasho lilianza kum tiririka gafla hasira zilifika ukomo wake ni dhahiri tangu kampuni ianzishwe hawakuwahi kuoata hasara kubwa kama hii “ mpelekeni huyu mbwa hospitali akiamka lazima awe na maelezo ya kina ya kunipa ” mkurugenzi alitoa
0 Comments