CHOMBEZO-JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha nne,lakini matokeo

CHOMBEZO-JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA KWANZA  Ilikuwa mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha nne,lakini matokeo

yangu hayakuwa mazuri sana kwani sikuweza kupata credit ambazo zingeweza kunipeleka form five ivyo nilibaki nyumbani kusaidia kazi za nyumbani kama kwenda shamba kipindi cha kilimo kinapofika. Sio siri maisha ya kijijini yalinichosha sana kwani yalinifanya nizeeke mapema sana wakati sikuwa hata na umri mkubwa ndo kwanza nilikuwa na umri wa miaka kumi na tisa,niliyachukia sana maisha hayo pili niliwaonea wivu wezangu waliobahatika kufahulu na kuingia kidato cha tano Siku moja nikiwa nyumbani alikuja rafiki yangu mmoja tuliyekuwa nae kijijini ila kwa sasa yeye anaishi jijini Dar es salaam,sio siri alipendeza sana kwani alivaa nguo zilizomuonyesha ametoka mjini,moyoni nilimuonea wivu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments