DADA WA KAZI EPISODE 2

DADA WA KAZI  EPISODE 2

DADA WA KAZI EPISODE 2 Mvua ilikuwa bado inanyesha kwa mbali, lakini ndani ya nyumba ya Baraka na Neema, radi ya maneno ilishaanza kupiga. Neema alilipuka kwa hasira. Alitoka jikoni kwa kasi kama radi, akaufungua mlango wa chumba kwa kishindo. “Aziza!!” alinguruma kwa sauti nzito, akimuamsha dada wa kazi aliyekuwa bado amejilaza kitandani, akiwa amechanganyikiwa na aliyoyapitia usiku huo. Aziza alishtuka, akakaa kwa haraka huku akiwa bado na hofu moyoni. “Madam… abeeeeeeeee...” “Si nilikwambia ulale kile chumba cha mbele sasa umelalal humu chumbani kwetu na kibaya zaidi umelala na mume wangu " " Dada samahani sikujua si unajua nimekuja tu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments