
Update : #AamirKhan amethibitisha kuwa tayari amesaini kuigiza movie ya superhero chini ya Director lokesh kanagraj ambayo itaaza kutengenezwa mwaka 2026.
Baada ya Hrithik (Krrish), srk (Ra one), Tiger Shroff (flying Jatt) na nyenginezo Tutegemee mzigo mwengine kutoka kwa Aamir Khan.
Soma zaidi
0 Comments