
ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu... Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimezaliwa majengo sokoni mkoani arusha, na mama yangu huwa anapikaga vitumbua na baba yangu alikuwa ni fundi ujenzi... Wakati nakuwa kulikuwa na mtoto mmoja. ambae hakuwa amenipita sana, alikuwa anaonekana kama amenizidi miaka kama mitano hivi, alikuwa anaishi na baba yake ambae alikuwa ni mlevi sana, kiasi kwamba hakuwa. anajali hata kula yake wala kuvaa yake, na alikuwa anasaidiwa na majiran kwenye kila kitu kuhusu maisha yake, ila ajabu ni kwamba mama. yake alikuwa anamlipia ada, alikuwa anasoma shule ya gharama ukilinganisha na
0 Comments