MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️‍🔥 SEHEMU YA 01...05 Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born

MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️‍🔥  SEHEMU YA 01...05  Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born

Ibrahim tulilelewa na mama tu baada ya baba yetu mzazi kufariki kipindi nipo na miaka saba hapo mama yangu ndio ana ujauzito wa Ibrahim... Baba yangu alikuwa anafanya kazi huko machimbo chunya ila ni mzaliwa wa Dar es salaam, maisha yetu yalikuwa mazuri na yenye furaha nilikuwa nasoma shule ya kulipia nitake nini lazima nipewe kipnzi cha baba maisha yetu yalikuja kuharibika baada ya kifo cha baba kwani baada ya msiba kuisha ndugu zake baba walichukua kila kitu wakagawana wenyewe vingine wakauza hawakumpa mama hata shilingi mia mbovu hadi mama akapata tatizo la moyo kwa ajili ya mawazo🥹🥹. Lilibaki shamba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments