*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 17 -- 18

*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* 17 -- 18

Chapter 17 "Unaenda wapi usiku wote huu, ni kwamba ndio umekasirika kwa mimi kuchukua haki yangu kwa mke wangu, au umekasirika baada ya kujua mimi ndio niliekudunga ujauzito, akasema .. Nilikuwa na hasira sana sikutaka kuongea nae, maana uzembe wake umesababisha mpaka wazaz wangu wakaniona kama sina maadili mazuri na nimewazalilisha, kwa sababu yake amesababisha nikaanza kutanga tanga mtaani kama omba omba, nilikuwa nina hasira sio siri... Akawa anajaribu kunizuia ila alishindwa nikachukua taksi mpaka nyumban kwetu... Wazaz wangu ndio walikuwa wanajiandaa kulala, nikawagongea, maana wakati ule nilikuta ndio wanazima taa.. nilisikia sauti ya baba ikisema " nani? " ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments