
,Chapter 9 'Ameshaniacha, haya pambana ukampe utamu ninao mpa, nikajikuta naropoka... " hivi unajikuta nani na hako ka mimba chako, usifikiri kaka yangu anakupenda, ni kwamba anakuonea huruma kwa sababu ulimsaidiaga utotoni.. "najua anipendi ila ndio anataka kunaoa, usijali tutapendana wakati wa ndoa, na wewe ndio utakuwa mshenga wetu... Akataka kuja kunileta vurugu, mama yake akatokea kisha akasema " kuache huyo asije akatufia na hiko kitumbo chake, sikutaka kumjibu, maana nilifundishwa kuwaheshimu watu wazima, wakaingia zao chumban nikasikia wanaongea mpaka wanacheka, nilikuwa na njaa sana, nikaenda jikoni nikakuta mkate na mayai, aisee nilipiga mkate mzima na mayai matatu nikashushia na
0 Comments