
*SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Sasa chumba ambacho kilikuwa ndio chumba cha Solomon, ukiuangalia kwa dirishan kwanza unaona namna wanavyoenda kwetu alafu unaona kila kitu kwenye chumba changu, yaan mtu akikaa hapa kwa Solomon, alafu mtu akikaa chumban kwangu anaona hadi ninavyobadilisha nguo, kiufupi unaona vitu vyote, hasa hasa ukisema uweke pazia pemben kwa sababu ya joto, ila sikuwa na wasiwasi kwa sababu nyumba yetu ilizungushiwa uzio, klumbe Solomon akitaka anaweza kuniona kwa sababu ni ghorofan... Nikawa najiambia kuwa Solomon hawez kuchungulia watu kwa sababu ana heshima tu, kumbe najidanganya tu... Basi wakaenda kupeleka posa, na sijui waliwaambia nini nikashangaa
0 Comments