
, yaan na kusoma kote unakuja kuoa mwanamke kama huyu, ona sasa anachomjibu mdogo wako, mama yake Solomon akaanza kulalamika.. "Sasa ulitaka amjibu vipi, embu wife twende, akasema Solomon kisha akanishika mkono tukawa tunaondoka kuelekea ghrofan maana chumba chake ndio kilikuwa huko.. yaan hamsikilizi mama yako wala baba yako unakaa na hako ka mwanamke ambacho hata hakajui kamebeba mimba ya nani, Solomon kwanini unachagua mwanamke mshenzi kama wewe, akaanza kulalamika mama yake, akionesha ni dhahiri hakuwa anataka niwe na ukaribu hata wa mbali na mwanae... Solomon akamgeukia mama yake kisha akasema unajua uliniacha na huyu mumeo mlevi bila kujali nakula
0 Comments