
aliinuka na kufungua mlango, alikua rafiki yake mmoja ambaye wanakaa wote hapo kambini, akamkaribisha ndani na kumtambulisha kwangu: "Kamanda Jafari naomba nikutambulishe kwa mchumba wangu mtadajiwa, anaitwa kamanda Laura" "Ok karibu sana kambini kwetu Laura jisikie upo sehemu sarama kabisa" "Asante" Kisha yule kamanda, akaaga na kutoka zake kwani alikuwa anasafari yake binafsi, kisha General aliufunga mlango na kuja kunishika mkono akaniinua akanipeleka chumbani kwake kisha aliniegemesha ukutani na kuendelea kuninyonya shingoni kimahaba huku akiniambia: "Mpenzi wangu wewe niwangu mimi tuu wangu pekeangu, nakupenda sana Laura nataka hivi karibuni, tuwe wote yaani nikiamka niwe nakuona, nikilala uwepembeni mwangu Laura niambie
0 Comments